
Tusiwe na tamaa ya utajiri wa haraka haraka kwani haraka haraka haina baraka. Haya yote yalitokea kwa sababu ya tamaa ya fedha na kuwa maarufu haraka haraka. Mwanamume aliamua kufanya utafiti pamoja na makachero na mwishowe waliambainisha kwamba huyo mchungaji alikuwa mchawi mbaya sana. Yule mwanamuke aliamua kmwaga matamu kwenye kuku wengi akisema “Mchungaji wetu ni pepo.” Akatoa hadithi yote, baada ya muda mfupi yule mwanamke aliaga dunia. Mumewe kwa kutaka kufahamu linalo musumbua mkewe, alimwambia “Nieleze nami nipate kujua linlomusumbua.” Akamwambia mumewe akasema “ ninalojambo linalo nisumbua na kuukera moyo wangu japo Mchungaji alinikataza nisije nikamwambia mtu yeyote yule kwani nikifanya hivyo basi nitakufa. Baada ya kusumbuka sana aliamua kufichua siri hiyo. Mawazo yalimsakama kweli kweli na amani ndani yake ikaisha. Mwanamke alijawa na hofu na uoga huku asjuwe afanyenini. Alimwambia kwamba siku ile ambayo atafunua sisri hiyo basi lazima aiage hii dunia. Mara baada ya ibada mchumgaji alimfuata huyo mwanamke na kumtaarifu kwamba asije akajaribu kumfunulia mtu, mwanadamu yeyote sisi. Mwanamke huyu alingiwa na wasiwasi wala asiweze kunena lolote. Punde sis punde mwanamke mmoja kati ya washirika ndiye aliyepata fursa/neema ya kugundua kuwa mchungaji amebadilika kuwa joka baada ya kuangaliana jicho kwa jicho na mchungaji. Basi Jumapili moja akiwa Ibadani kama ilivyo desturi yao ghazala bin vuu akabadlika na kuwa joka, lakini bahati mbaya washarika hawakumwona kuwa tofauti. Mfano, “Katika nchi jirani ya Tanzania katika mji wa Arusha, kulikuwa na mchungaji mmoja ambaye alikuwa na Kanisa kubwa sana. Askofu alinukuu, Tena imani ni nguzo muhimu bila lazima, utafute ya kwako hivyo basi ndo maana watu wengi wamekimbilia mapepo kwa sababu ya utajiri, cheo na kadhalika. Kama hauna kristo Yesu katik maisha yako utamushuhudia nani ? “Aliye na mwana ana ushuhuda”. Hauwezi kutakaswa na kuwekwa wakfu na kusema ukweli la wako ni ngeli. “Madhara yapo mengi.” Alisema, kwanza kabisa tunakosa ulinzi wa mungu katika maisha yetu ya kiroho na kimwili, huwezi kuwa na furaha, na zaidi ya yote badala ya kuunganishwa na neon la Mungu, wewe unaunganishwa na maneno ya watu.

Je tusipokuwa na umoja kunayo madhara ambayo yanatupata? Umoja ukiwa nadani yetu inakuza chembe chembe ya furaha mioyoni mwetu. Kwa umoja wetu hata mateso yakija tuna nguvu ya kufrisiana. Umoja huwapatia watu nguvu ya utendaji kazi, kwa sababu tutashirikiana kwa kila tendo ambalo limejitokeza mbele yetu. Tukiwa na upendo, Amani, furaha na uvumilivu mungu hupata utukufu pengineko tunapoenda kinyume na Mungu basi tnamnyima Mungu utukufu.


Kama mteule una takiwa usomeke mbele ya watu vyema jinsi unavyofanya mbele ya watu, ndivyo wanavyo kufahamu vizuri au vibaya. Tena hutupa rohao wake mtakatifu ambaye ukiwa naye maisha yako lazima yawe na tofauti kwa sababu umezaliwa upya, yakale yamepita na tazama umekuwa kiumbe kipya. Yesu hutuombea ili ulimwengu upate kusaidiki kuwa tumetumwa na Mungu kama Mitume.
